Habari Mpya

PICHA...MMMH DIAMOND AKIFANYA YAKE KWA SHABIKI WAKE...HATARI SANA...!


Msanii mahiri wa Muziki wa kizazi kipya nchini Diamond akijaribu kumpapasa mrembo ambae ni mmoja wa mpenzi wa Muziki huo kwenye show ambayo aliifanya mwishoni mwa mwezi Juni katika Ukumbi wa Frankaman Hotel Tabora.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By