Habari Mpya

SAKATA LA WEMA KUPORWA BWANA NA BESTI YAKE KIPENZI..!! SINTAH AINGIA KATI NA AMCHAMBA MMOJA...JIONEE HAPA....!!

Kutoka kwenye blog ya mwanadada Sintah ameamua kufunguka juu ya sakata hilo la wema kuchukuliwa bwana na rafiki yake kipenzi, katika sakata hilo lililotokea hivi karibuni na kusababisha madam (Wema) kuyumba kiuchumi na kuvutia hisia za mashabiki wa Wema lilitokana na mwadada Wema kurudiana na kipenzi chake cha muda mrefu Diamond Platnumz.

Soma hapo chini jinsi Sintah alivyofunguka kama kawaida yake
yaani ndipo nina amini wanawake
mwalimu wetu ni kipofu
upo na mwanaume less than 2 months
 unajichora hivi


Naima aliechukua nafasi ya madam

Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha

Ladies, usione mwanamme alikuwa ana muhonga msichana mwenzio ukajua na wewe itakuwa hivyo, kumbuka kila mtu na bahati yake yeye ameitwa Wema na wewe unaitwa Naima

I do the seeking n you do the judging.... 
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By