Hivi karibuni dada wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Queen Darleen alipost picha akiwa na aliyekuwa mpenzi wa kaka yake katika mtandao wa kijamii na mara baada ya kuweka pocha hiyo iliibua maneno mazito na machafu kwa mwanadada Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha tv cha DTV. picha hiyo iliyonyesha Penny na akiwa na wifi zake ndipo mashabiki walivunja ukimya na kuanza kuporomosha matusi ya nguoni kwa Penny. tazama hapa chini utaona mwenyeweCredit:Swahili.info
