DRAKE NA RIHANNA WATOSANA CHANZO CRISS BROWN SOMA MKASA MZIMA..!!!
Uwezi amini unaambiwa ule uhusiano wa kimapenzi kati ya Drake na Rihanna uliokuwa Gumzo week iliyopita baada ya kutangaza kuwa wameamua kuwa wapenzi kabisa ..eti sasa wameachana tena na inasemekana kuwa kisa ni Chriss Brown , inasemekana kuwa Drake Amemfuma Rihanna Mara Kadhaa Akiwa anawasiliana na Chriss Brown wakichat Massage za Kimapenzi ...Mhhh Wacha Movie iendeleee......