Habari Mpya

Shaa Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Mapenzi yake na Master J..Asema Anajua Kupika Kuliko Yeye

SHAA MASTER J
Akiongea leo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika kutoka Nairobi, Shaa amesema mpenzi wake huyo si mnyama kwenye upishi wa ngoma studio pekee, bali pia katika kurekebisha msosi jikoni. Alikuwa akijibu swali la producer wa Kenya, Kagwe aliyetaka kufahamu kama humpigia mpenzi wake.

“By the way you will be surprised,” amesema Shaa. “Because my better half is a better cook than me. He is really a better cook. I am the type of a girl who can boil an egg well, I can make it look pretty, I can set up a table, I can clean the dishes, I can clean the clothes, I can iron whatever but the kitchen yeah he’s got better…. (anacheka na kufanya asisikike alichotaka kusema).
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By